Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,262
- 13,552
Wakuu heshima kwenu!
Baada ya kutembelea vivutio vya UTALII kwa wingi vilivyopo Tz,nimeamua kwenda kupanda mlima Himalayas na nataka nifike hadi 7,000meters.
Sasa najua watz wengi ni watembezi,naomba kujua kama kuna Mwana JF ambaye alishawahi kupanda mlima huo ili anipe details za nyongeza,maana online nimepata chache ila nataka kutoka kwa mbongo mwenzangu.
Ila nataka kuraise fund kwa ajili ya kusaidia wanafunzi Kule kijijini kwetu.
Naomba pia kama kuna MTU anaweza kunisaidia write up proposal kwa ajili hiyo.
Asanteni sana.