Kwanza kabisa natoa hongera kwa Jeshi la Polisi haswa kamanda Wa mkoa Wa DSM Kamanda Siro kwa kuamua kujenga Kituo kikubwa "class c" ktk eneo la Kiluvya, naamini Kituo hicho ndicho kitakuwa kikubwa ktk wilaya ya Ubungo, hivyo basi ombi la wananchi Wa wilaya ya Ubungo kwa Kamanda Siro ni kuhakikisha Ujenzi huo unakamila haraka na kwa viwango vyenye hadhi ya Kituo daraja "c".
Hivyo ni ushauri wangu kuwa panapo kuwa na project muhimu na nyeti kama ya Ujenzi Wa vituo Vya Polisi basi kamati ya ulinzi Mkoa ifuatilie kwa ukaribu Ujenzi huo na pia kutoa mapendekezo kama yanahitajika kwa wakati muafaka.
Ujenzi wa vituo vya Polisi upewe umuhimu wa kipekee kwani ndio tegemeo la usalama wa raia na Mali zao!