Tanzania kuendelea ngumu

Tanzania kuendelea ngumu

nkulikwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
721
Reaction score
813
Moja ya kikwazo kikubwa cha maendeleo Tanzania ni kwamba viongozi wengi si wa kweli! Na msingi wa njema zote ni ukweli. Tunaweza kukataa Watu si kwa
Sababu siyo wasafi Ila si wa Chama changu. Kikwazo cha pili ni fitina na ufitini. Tatu hakuna watanzania Ila kuna vyama tu ndiyo muhimu na wale wachache wanaopenda Tanzania wanaitwa wasaliti!
 
IMG-20170503-WA0033.jpg
 
Ila,kuna nchi zinaona tuko fit,na wanajitahidi kutuiga kwa mengi!
 
Back
Top Bottom