TAAZIA: Aliyekuwa mwandishi wa RTD, ITV na Redio One, John Marandu afariki dunia

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Ndugu John Marandu (59) alikuwa Mwandishi wa RTD na Baadaye Kuwa Mwandishi wa ITV na Redio one. Na Baadaye ITV ilipoanza Kituo Arusha alikuwa Mkuu wa Kituo mpaka alipopishana Kauli na Mwajiri wake.

John Marandu, Pia alikuwa Diwani wa Katangara Wilayani Rombo kupitia CCM, Marehemu alikutwa amefariki katika Nyumba ya kulala Wageni huko Magu Mkoani Mwanza. Ameacha Mke na Watoto wawili.

RIP John Marandu

tmp_30780-1506972_564389396969937_1540817862_n1778288882.jpg
 
Back
Top Bottom