edwin4
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 287
- 217
Kuna jambo linanitatiza sanaaa mpaka nahisi kuchanganyikiwa, ni hivi:-
Toka nipate wazo na hatimae kuanza ujenzi wa kumjengea bi mkubwa (mama) nyumba, mzunguko wa pesa umekatika gafla, na biashara zote nazo jaribu kuzifanya zinadumu kwa miezi mitatu tu, baada ya hapo zinakufa katika mazingira ya kuzurumiwa. Wakubwa naomba msaada wenu tafadhari.