salim kimosa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 390
- 362
Jamani wakuu nakumbuka Mh Rais alitangaza kuwa mwaka huu wa fedha atatoa nafasi za ajira 52000, leo nimeona kwenye gazeti kuwa nafasi zitakazotangazwa ni 15,000 , hebu mwenye taarifa ya nafasi zilizobakia kati ya hizo 52000 zitatangazwa lini au ndo imepita hiyo?
Naomba kujua wakuu
Naomba kujua wakuu