ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Dah hakyamungu,hivi ni kweli ile ajali ndo ilimfanya akawa anaongea vitu vya ajabuajabu?anyway nafikiri walimpa sumu kwa kweli au walimloga lakini zamani alikuwa ni genius na kwenye utawala wake alijitahidi kwa kiasi kikubwa sana