Waziri wa ujenzi naomba msaada fasta

kamanda mbigi

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
1,241
1,546
Msaada tutani kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mmoja wa mzazi wangu wa kufikia kakumbwa na swala la vyeti feki. Sasa changamoto inakuja yeye alikopa nyumba ya serikali na akawa kashaanza ameanza kulipa deni.

Juzi juzi jina lake limetoka kuwa amegushi vyeti, na akaitwa na mtendaji wake mkuu wa idara aliyopo na kusemwa sana.

Sasa waziri kama utaisoma hii au mtu yeyote aliyepo katika idara husika na anaweza kunipa details anisaidie kama huyu mtu anaweza kuendelea kuinunua hiyo nyumba au litakua kosa...!!!!!
 
Back
Top Bottom