nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,032
- 893
Habari zenu, kuanzia leo May 04 2017 Easy Tv wametoa tangazo linalosema kuna baadhi ya chaneli hazitaonekana kwenye King'amuzi cha Easy Tv. kwasasa karibu mwezi chaneli za MBC zilikuwa zinatangazo linalowataka (Easy tv) wabadilishe uwelekeo wa Satelaiti hadi Apr 26 2017 wawewamesharekebisha endapo hawatafanya hivyo zitaondoka zenyewe. Yaliyojiri leo ITV, Capital, EATv hazionekani na baadhi nyingine. Je hawa wawekezaji wanakabiliwa na nini? Tunaomba msaada kwa TCRA kabla hawajaondoka.