Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

moja ya habari inayopata muda mwingi humu jamii forums ni habari ya hii ndege yetu ya dreamliner inayonunuliwa, katika utata huu kuna website inayosambaa ambayo pia ina utata. Maana ukisearch...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati nilikuwa mdogo nilikuwa mdogo. Sikuwa najali shida wala raha. Nilikuwa nawategemea wazazi wangu. Sasa nimekuwa naona shida nyingi duniani na kuepuka siwezi na kuepuka siwezi. Usinicheke...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Askari wa Jeshi la Police amefumwa akiomba na kuchukuwa rushwa kutoka kwa wageni wanaoendesha gari katika maeneo ya mji wa zanzibar
3 Reactions
72 Replies
9K Views
Kama kuna bodaboda yeyote kwenye kijiwe (kituo) chako ambaye hajasajiliwa kwenye daftari la wilaya naomba asajiliwe mapema kabla ya Jumatatu 08.05.2017 tofauti na hapo hatua kali zitachuliwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana bodi, heshima kwenu! Mimi ni mjasiliatumbo, nafanya kazi za mikono baada ya biashara kunitupa mkono; Ila nina jamaa zangu na rafiki zangu, wafanyakazi wa serikali, wengine miongoni mwao...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa kilimanjoro amewataka wazaliwa wa mkoa huo kuwekeza kwenye mkoa wao hasa kwenye secta ya viwanda maana wana fedha nyingi kuliko kuwekeza zaidi mikoa mingine aliongea hayo kwenye...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Kuna mambo mengi sana hatujagundua kizazi hiki sijui kama tutaenjoy ugunduzi huo. Vipi wewe unamiss nini kwenye simu ya mkononi? Mi nataka nipate hadi harufu ya upande wa pili ninaoongea nao...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Mambo huwenda kasi sana hapa Tanzania hadi nafurahi.....ripoti ya vyeti feki ndo hiyo iko sokoni. Ina mambo rukuki kama tetesi ya cheti cha form four kuwa na One ya point 5 na mengine mengi. Je...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello Gentleman and ladies , Nimepanga kwenda Sumbawanga after kwaresma natokea hapa Karibu na Kilimanjaro international airport anayejua barabara ipi nitumie .Kwani Nina shida kubwa sana na...
0 Reactions
52 Replies
12K Views
Habari Wakuu.. Bado tupo na siku ya wafanyakazi duniani. Kipato cha mshahara kimekuwa ni tatizo sana, karibu kila mfanyakazi mshahara anaopata haumtoshi, hii ni kutokana na gharama za maisha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mfano utasiki tumekamata bangi yenye thamani ya tsh mil 29. Au cocaine yenye thamani ya tsh mil 200. Au pembe za ndovu zenye thamani ya mil kumi. Uwa wanajuaje thamani yake na wakati hivyo vitu...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimeona nianzishe uzi huu ili kuwasaidia watu wanaotaka kununua naeneo au viwanja hapa Kibaha. Kuna magenge ya na tapeli ambao wanatafuta wateja Dar na kuwaleta kuwauzia mashamba ya watu wengine...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Ulitokea ubishi katika ardhi kuu ya watu kuwa, Kulikuwa na sababu zaidi iliyowafanya wao kuendelea/kufanikiwa kwa kiasi cha ajabu, kwamba hawakuwa wenyewe kwa mawazo yao, kufanikiwa kufika...
6 Reactions
42 Replies
9K Views
Habari wanajamvi. Huu utaratibu wa kushehekea siku ya kuzaliwa umeenea dunia nzima, kuanzia mijini hadi vijijini. Je kwa namna inavyosherekewa ni sahihi? Siku ni Jumamosi, Jumapili nk hadi...
0 Reactions
7 Replies
793 Views
  • Closed
Mtanzania anayevuma kwenye mitandao ya kijamii kutokana na matanuzi ya fedha, Jack Pemba yuko mikononi mwa vyombo vya dola akichunguzwa kutokana na tuhuma za utakatishaji wa fedha. Msemaji wa...
1 Reactions
59 Replies
16K Views
Habari wana jamvi. Leo nineona ni vema kuwashirikisha katika jambo hili ambalo limekuwa likifanywa na mitandao ya simu bila ridhaa ya mtumiaji.Jambo lenyewe ni kuwekewa mwito unaosikilizwa na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za Leo wapendwa, Unapoingia katika choo cha jumuia mathalani kazini au chuoni, ukakuta kina hali mbaya inatia karaha. Unapoamua kukitumia hivyo hivyo umalize shida yako ile unatoka tu...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Jana nilikuwa Nikimsikiliza Mheshima Maalim Seif Kupitia kipindi cha 360 Kinachorushwa Clouds Tv akihojiwa juu ya mgogoro wa Cuf. Leo pia tulikuwa na Prof Lipumba baada ya kusikiliza pande zote...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…