Msaada safari ya kwenda Sumbawanga

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,779
Hello Gentleman and ladies ,
Nimepanga kwenda Sumbawanga after kwaresma natokea hapa Karibu na Kilimanjaro international airport anayejua barabara ipi nitumie .Kwani Nina shida kubwa sana na nimepata habari msaada nitaupata wilayani Sumbawanga .natakunguliza shukrani waungwana wangu ukiona mwanaume analie ujue yamemkuta .Na kama kuna members wa hapa anayeishi wilayani Sumbawanga please anijulishe kuna swali nilikuwa naomba kumuuliza ,
Best Regards,
Mwenye shida kubwa ,
 
Pole mkuu... mimi niulize hilo swali nitakusaidia hata kukutaftia mwenyeji pia wewe nicheki
 
Karibu sana Swanga, unakuja kwa ajili ya ile kitu maarufu ya huku? Karibu upande bus toka hapo Arusha ulale Mbeya. Asbh ya siku inayofuata panda Ndenjela wahi sa5-6 uko hapa Jangwani stand. Mm ni mwenyeji sana tu hiyo barabara yote toka Tunduma, Mkutano, Mpui, mpaka unafika Swanga.

Niko hapa Kizwitte
 
Mkuu ili ufike bila usumbu na uchovu panda basi la arusha hadi mbeya ukifika mbeya kuna gari nyingi sana za kwenda sumbawanga najua ukiondoka arusha utalala makambako na kesho SAA NNE utakuwa mbeya hapo utaamua uendelee na safari au upumzike maana usafiri wa kwenda sumbawanga mpaka SAA Tisa gari zipo mi nakutakia safari njema
 
Mkuu panda toka apo moshi au arusha to mbeya.unalala keshoake umafika mapema kabisa au kam unaweza wahi bus la majinja apo njia panda kibaha unalipanda ilo linatoka dar saa 12 asbuh saa tano usiku utakuwa swax town.
 
Mkuu panda toka apo moshi au arusha to mbeya.unalala keshoake unapanda bus la nertwork umafika mapema kabisa au kam unaweza wahi bus la majinja apo njia panda kibaha unalipanda ilo linatoka dar saa 12 asbuh saa tano usiku utakuwa swax town.
 
Back
Top Bottom