Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Wana bodi, heshima kwenu!
Mimi ni mjasiliatumbo, nafanya kazi za mikono baada ya biashara kunitupa mkono;
Ila nina jamaa zangu na rafiki zangu, wafanyakazi wa serikali, wengine miongoni mwao wametolewa ndagu na JPM kwa kuwatumbua.
Swali langu moja,
baada ya kujua kwamba jamaa au rafiki yangu ametumbuliwa, nikimpigia simu au kukutana nae, nimpongeze kwa hatua alizopitia kula fedha ya umma, au nimpe pole?