Polisi mwingine Zanzibar afumwa akichukua rushwa kwa mtalii

Inasikitisha sana na kwa nini makosa haya yanatokea zanzibar tu hii ni kuonesha wazi kuwa Rushwa kwa police wabarabarani wamekubuhu na kama kuna siku IGP Mangu angekuja Kituo cha Police Trafic Makao Makuu pale malindi watu wanatowa pesa utafikiri pana duka pale reception au kale kachumba kadogo kwa nyuma pale kituoni

Ila haiishii hapo askari hawa huwa wanacheza upatu kwa siku wanweka kiwango wewe kama huamini fanya shitukizo pale kituowani ukifika fu gua drow la meza utakuta pesa utafikiri wanauza duka kumbe ni rushwa za madereva wa daladala na vespa zisizo na lessen

Ushauri kwa IGP ondosha trafic wote zanzibar ili kuondowa hii aibu kwa jeshi la police kuna trafic toka anaajiriwa ni trafic kama huyo so imekuwa akilj imeganda kwa kula rushwa
 
Dah

Na bila aibu kabisaaaaa

Na wao walitegemea hilo litatokea na wafanyeje, hii inaonyesha habari za rushwa zinazidi kuongelewa na kutia aibu.
 
Tusiwe wanafik. Madereva wenyewe wanataka kutoa rushwa wanaona ni kheri alipe buku 10 kuliko usumbufu wa mahakamani na fine juu. Nathubutu kusema kwamba madereva wote wakikamatwa na afande wanakimbilia kuyamaliza hapo hapo labda afande agome
 
Askari wa Jeshi la Police amefumwa akiomba na kuchukuwa rushwa kutoka kwa wageni wanaoendesha gari katika maeneo ya mji wa zanzibar

Utawasikia vilaza wakija kusema hapa.....oh waislam na rushwa haviendani. Huyu je?
 
Askari wa Jeshi la Police amefumwa akiomba na kuchukuwa rushwa kutoka kwa wageni wanaoendesha gari katika maeneo ya mji wa zanzibar

Jamani tunawaonea tu hawa mbona rushwa zinatolewa kila dakika barabara zote za Tz nani asiyejuwa, hapa tunajifanya kushangaa utasema tuko USA.
 
Inasikitisha sana na kwa nini makosa haya yanatokea zanzibar tu hii ni kuonesha wazi kuwa Rushwa kwa police wabarabarani wamekubuhu na kama kuna siku IGP Mangu angekuja Kituo cha Police Trafic Makao Makuu pale malindi watu wanatowa pesa utafikiri pana duka pale reception au kale kachumba kadogo kwa nyuma pale kituoni

Ila haiishii hapo askari hawa huwa wanacheza upatu kwa siku wanweka kiwango wewe kama huamini fanya shitukizo pale kituowani ukifika fu gua drow la meza utakuta pesa utafikiri wanauza duka kumbe ni rushwa za madereva wa daladala na vespa zisizo na lessen

Ushauri kwa IGP ondosha trafic wote zanzibar ili kuondowa hii aibu kwa jeshi la police kuna trafic toka anaajiriwa ni trafic kama huyo so imekuwa akilj imeganda kwa kula rushwa
Acha bwana huku bara ndio miradi rushwa barabara zote Tz na haijaanza leo na wala haitaisha. Au hilo hujaliona?
 
Ndio serikali yenu ya CCM hiyo unayoishangilia oyeeeeeee Oyeee kwenye kila post kaa Taahira vile.
Acha Ujinga huo CCM wapi na wapi na Rushwa hai watumishi wapo wa vyama vyote isiwe kila kitu unatupia ccm rushwa ni tabia ya Mtu na kama ingekuwa kosa la mtu mmoja linakuwa ndo la taasisi nzima basi juwa kuwa Chadema ni wauza Unga na Kukwepa kulipa kodi
 
Back
Top Bottom