Wengine wanaongelea chooni ujueKuna mambo mengi sana hatujagundua kizazi hiki sijui kama tutaenjoy ugunduzi huo.
Vipi wewe unamiss nini kwenye simu ya mkononi?
Mi nataka nipate hadi harufu ya upande wa pili ninaoongea nao
Itakuwa burudani kweli
Karibuni
Nakusubiri.Nitarud
Kama chooni kwako kuzuri kuna shida gani?Tutaeshimiana hakuna kuongelea chooni
Kwani choo lazima kinuke?Wengine wanaongelea chooni ujue
Kwani choo lazima kinuke?
Au vyoo vya bar...Vyoo vya stendi.
Kama harufu gani?Mbona hamzungumzii harufu za maana ?????
am still on process,bruh, working for itBasi tupe majibu