Super Don
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,978
- 1,781
Mkuu wa mkoa wa kilimanjoro amewataka wazaliwa wa mkoa huo kuwekeza kwenye mkoa wao hasa kwenye secta ya viwanda maana wana fedha nyingi kuliko kuwekeza zaidi mikoa mingine aliongea hayo kwenye hotuba yake kwenye sherehe za mei mosi kitaifa zilizofanyika mkoni hapo.