Je birthday inasherehekewa kwa usahihi?

Uta Uta

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
3,739
8,736
Habari wanajamvi.
Huu utaratibu wa kushehekea siku ya kuzaliwa umeenea dunia nzima, kuanzia mijini hadi vijijini.
Je kwa namna inavyosherekewa ni sahihi? Siku ni Jumamosi, Jumapili nk hadi Ijumaa. Sasa watu husherekea tarehe ile waliyozaliwa badala ya siku kwa nini? Kama umezaliwa Jumatatu ina maana siku yako ya kuzaliwa ni kila Jumatatu. Sasa tunasherekea siku au tarehe ya kuzaliwa
 
Hapa nilipo najua tarehe,mwezi na mwaka niliozaliwa tu,masuala ya kufuatilia saa,dakika,sekunde au siku yenyewe daah hio kazi isiyo na malipo. Maana baada ya hapo utataka kujua ulizaliwa home au hospital,dokta au nesi alihusika,jina lake na anapoishi kwa sasa bila kusahau dereva teksi aliyesaidia mama kupelekwa hospital,jiran gani alikusema vibaya ukiwa mchanga nk
 
Back
Top Bottom