KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,515
- 2,808
moja ya habari inayopata muda mwingi humu jamii forums ni habari ya hii ndege yetu ya dreamliner inayonunuliwa, katika utata huu kuna website inayosambaa ambayo pia ina utata. Maana ukisearch unaoneshwa mahali inapoelekea kutoka katika kampuni hiyo. Cha kushangaza ni kuwa details za boeing 787 pekee ndo zimewekwa ila ndege aina nyingine hazijawekwa. Hii inaonesha ni jinsi gani hivi vitu havina ukweli
Nimenukuu
Zitto Kama Mbunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 03/05/2017 aliandika tweet hii kwenda kampuni ya Boeing kupitia account yao ya twitter na mpaka sasa hawajamjibu.

" [HASHTAG]#BoeingAirplane[/HASHTAG] didi you approach us?Where you approached?Did you bid?What procurement process?Is 787-8 Dreamliner a TT?"

Hiyo ndio tweet ya Zitto kwenda kwa kampuni ya Boeing.

Binafsi nimevutiwa na hilo swali la mwisho la kuwataka Boeing wathibitishe kama ndege walioutuuzia ni Terrible Teens kwa kifupi TT?

Pia kupitia mtandao huo wa twitter, Zitto kamtaka waziri Mbarawa atoe ufafanuzi mbona Line Number ya ndege ya Tanzania inayoonekana katika mtandao [HASHTAG]#BoeingAirplane[/HASHTAG] www.abcdlist.nl/787LINE.html ni 19 na sio 719 na waziri nae naona hajamjibu mpaka sasa.

Zitto anatafuta majibu tusimbeze.