Unahisi ripoti ya umri kwa watumishi wa umma inaweza kuja na mambo yapi?

Kiberiti Kidogo

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
575
917
Mambo huwenda kasi sana hapa Tanzania hadi nafurahi.....ripoti ya vyeti feki ndo hiyo iko sokoni.
Ina mambo rukuki kama tetesi ya cheti cha form four kuwa na One ya point 5 na mengine mengi.
Je wewe mdau unahisi ripoti ya umri inaweza kuwa na mambo gani nyeeeti?


Binafsi naona ikitoka KUNA WATUMISHI WA UMMA WATAKUWA BADO HAWAJAZALIWA ILA WAPO DUNIANI WANAGONGA KAZI>>>>
 
Kuna wengine taabu, shida, Kero na mateso zimewafanya wewe wazee, wengine upungufu wa hivyo unawafanya waonekane vijana! Nangoja kipimo cha umri!
 
Ile ya mchanga wa madini yenye kamati tatu tofauti inatoka lini? Je, na yenyewe itamwagwa peupe kama hii ya waliofoji vyeti?
 
Back
Top Bottom