Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
Wakati nilikuwa mdogo nilikuwa mdogo. Sikuwa najali shida wala raha. Nilikuwa nawategemea wazazi wangu. Sasa nimekuwa naona shida nyingi duniani na kuepuka siwezi na kuepuka siwezi.
Usinicheke Usinicheke (Shukrani A. Ngonyani ) ndivyo mambo yanavyoenda Usinicheke Leo kwangu kesho kwako aah mwenzangu sina la kusema sina la kufanya msingi ni KAZI.
KAZI ni uhai kwa kila binadam ohh yayaahh. Kutoka enzi na enzi za mababu zetu jamani.
Hata baba Mungu pia aliumba dunia binadam na viumbe vingine alifanya KAZI.
Sizonje is an animal!