Taarifa kwa bodaboda wilaya ya Bunda mkoani Mara

jaffari yogo

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
685
148
Kama kuna bodaboda yeyote kwenye kijiwe (kituo) chako ambaye hajasajiliwa kwenye daftari la wilaya naomba asajiliwe mapema kabla ya Jumatatu 08.05.2017 tofauti na hapo hatua kali zitachuliwa kwa muhusika na viongozi wa vijiwe.

Nakala-kituo cha Polisi kwa taarifa.
From,
Jaffari Odhiambo,
M/kiti wa bodaboda wilaya ya BUNDA, Mara.
 
Back
Top Bottom