Nimejua Siri kubwa zaidi katika MEDITATION! Juu yetu..

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,720
1,639
Ulitokea ubishi katika ardhi kuu ya watu kuwa, Kulikuwa na sababu zaidi iliyowafanya wao kuendelea/kufanikiwa kwa kiasi cha ajabu, kwamba hawakuwa wenyewe kwa mawazo yao, kufanikiwa kufika walipokuwa!.
Ni watu waliojiumbia miili kwa kutumia ujuzi wao maalumu!, walitoka katika ulimwengu wa roho na kuvaa mwili, yaani walijivika umbo/vazi la Mtu. Ni kama sisi leo tujiumbiapo Suti maalumu inayoweza kutufanya kuishi mbali na uso wa Dunia.!
AR-140139939.jpg

Hivyo waliweza kuvaa miili wakiwa wanajitambua vyema!, Asili zao na walipotoka.
Baada ya wao kuishi miaka mingi mno hapo kale kwa mafanikio makubwa na ujuzi wao kukua kila kukicha, Liliibuka swali kuwa, Je Mtu(Wao wenyewe) mwenye mwili atakaezaliwa mahali bila kukumbuka historia yake ya nyuma ataweza kufikia mafanikio waliyokuwa wameyafikia!?
Hapo ndipo wazo la Kutengenezwa binadamu wapya watakaozaliwa wakiwa na kumbukumbu sifuri (Formated memory) lilipopatikana!
(Yaani sisi).

Baadhi ya watu walidai kuwa asili ya mtu na utaalamu haiwezi kubadilika hata akifutwa kumbukumbu zote!. Wengine walidai kuwa Mtu hawezi kufanya lolote bila kufunzwa au kupewa maarifa kutoka mahali!

Hivyo ukatengenezwa mpango maalumu ili kuumaliza ubishi ule miongoni mwao.!
Mpango huu ulikuwa, Itafutwe sayari ambayo itakuwa imejitenga sana/far away kisha mpango huo ukafanyikie pale.
Mpango ulikuwa ni pamoja na kuchukua vitu vyote/zana zitakazokuwa msaada kwa watu hawa maalumu ambao walikuwa mahususi kwa ajili ya kumaliza ubishi wao! (Watu hao ndio sisi)

Kikosi maalumu cha wataalamu wa anga kilishughulika katika kutafuta eneo/sayari maalumu ya majaribio hayo!.
Dunia ilipatikana huku ikionyesha kuwa kulikuwa na uwezekano wa wao kufanya walichokuwa wamekusudia, ndipo kundi maalumu la wataalamu tofauti likatumwa Duniani hapo kale!.
Kundi hilo lilipofika duniani, lilikuta kuna baadhi ya viumbe waliokuwa tayari wapo duniani; Hivyo waliangusha bomu kubwa maeneo ya Mexico, na bomu hilo liliharibu karibia kila kitu na mazalia!

Kulikuwa na wataalamu mbalimbali wajuzi wa mbinu nyingi.

Wapo waliokuwa mahususi kwaajili ya kuja kuficha hazina mbalimbali kama madini! na vitu vingine ili kama siku binadamu akianza kujielewa aweze kutumia katika kumsaidia.

Wengine walikuja kufanya ufundi wa miti na dawa! Ili siku mtu atakapoanza kupata maarifa atambue kuwa katika miti kuna dawa zinazoweza kumsaidia apone!,.
Yote hii ilikuwa ni swali "Je Binadamu mpya asiejua lolote anaweza kugundua siri zilizojificha"?.
Wengine wakatengeneza viumbe baharini na kuvisambaza kila kona ya maji! Wengine wakawa na kazi ya kuumba wanyama wengi tofauti wakiiga mifano ya wanyama walionao kwao(kwetu) Wa mwisho wakaja na ile sayansi kubwa zaidi katika mtu; Sayansi ya kumtengeneza mtu! Hawa walitengeneza watu mbalimbali(weusi, weupe, brown na wengineo) kisha walitoa oda maalum huko kwao kwa watu ambao walichukuliwa roho zao kisha kuwekwa katika miili ile iliyokuwa imetengenezwa kwa ajili ya kazi ile.
Roho hizo(miili yao ya asili) zilifutwa kumbukumbu zote ndipo Zikawekwa katika miili hiyo iliyokuwa mingi, wastani wa miili mia, iliyokuwa ya waume na wake, Watu hao wapya wakasambazwa kila pembe ya Dunia kulingana na rangi zao wakiwa na kumbukumbu sifuri.

Lengo la kuwatengeneza kwa rangi tofauti ilikuwa ni fumbo ambalo pia walipewa watu hawa wapya yaani sisi, (nitawaelezea baadae kuhusu hili).

Ili mambo yasilale, yaendelee kuzunguka ndipo wazo la kuwepo kifo lilipokuja! Hivyo mtu(watu wapya) alipokufa aliweza kurudi kwenye ardhi yake ya asili(Nyumbani) na kwa watu wake wa asili, pindi wakifika huko hurudishiwa kumbukumbu zao na kujitambua wao ni nani na walikuwa Duniani kwa sababu gani!,
Hiyo ndo sababu ya watu(sisi) kutorudi katu hapa katika ulimwengu huu na kumbukumbu sababu tupo hapa ili kujibu swali la nyumbani kwetu kwa asili, kuwa tunaweza kuendelea bila ya msaada wa chochote, au tutabaki kama tulivyo bila kuendelea.?
MP9004118281.jpg

Mwisho wa hii Mission

Mission hii itaisha pale ambapo watu walioitengeneza project hii watakapopata jibu, kuwa mtu hawezi au anaweza kufanya lolote bila ya msaada punde atupwapo mahali na kufutwa kumbukumbu...

Mwisho wa meditation yangu ulikuwa ni huo. Mwenye idea au wazo fulani anaweza kushare nami kwa kuniPM au kuongea chochote ili mradi lisiwe ni Tusi.

Nawasilisha
Secret Star.
 
Duh, inawezekana ukwa umepatia fumbo la kiini na chanzo cha uwepo wetu.

Maana huwa najiuliza, hivi yule jamaa ali assemble computer, alikuwa anawaza nini kabla???alijua matokeo ya kile anachokifanya kwamba kitakuja vile au ni ajali tu.kama alijua alipewa ndoto hizo na nani???
Mbona mimi sina hata moja???
 
Dah haya mambo yamefichwa sana ila binadamu taratibu tunazidi kuamka kutoka ziro kwenda mbele!
 
Ulitokea ubishi katika ardhi kuu ya watu kuwa, Kulikuwa na sababu zaidi iliyowafanya wao kuendelea/kufanikiwa kwa kiasi cha ajabu, kwamba hawakuwa wenyewe kwa mawazo yao, kufanikiwa kufika walipokuwa!.
Ni watu waliojiumbia miili kwa kutumia ujuzi wao maalumu!, walitoka katika ulimwengu wa roho na kuvaa mwili, yaani walijivika umbo/vazi la Mtu. Ni kama sisi leo tujiumbiapo Suti maalumu inayoweza kutufanya kuishi mbali na uso wa Dunia.! View attachment 504020
Hivyo waliweza kuvaa miili wakiwa wanajitambua vyema!, Asili zao na walipotoka.
Baada ya wao kuishi miaka mingi mno hapo kale kwa mafanikio makubwa na ujuzi wao kukua kila kukicha, Liliibuka swali kuwa, Je Mtu(Wao wenyewe) mwenye mwili atakaezaliwa mahali bila kukumbuka historia yake ya nyuma ataweza kufikia mafanikio waliyokuwa wameyafikia!?
Hapo ndipo wazo la Kutengenezwa binadamu wapya watakaozaliwa wakiwa na kumbukumbu sifuri (Formated memory) lilipopatikana!
(Yaani sisi).

Baadhi ya watu walidai kuwa asili ya mtu na utaalamu haiwezi kubadilika hata akifutwa kumbukumbu zote!. Wengine walidai kuwa Mtu hawezi kufanya lolote bila kufunzwa au kupewa maarifa kutoka mahali!

Hivyo ukatengenezwa mpango maalumu ili kuumaliza ubishi ule miongoni mwao.!
Mpango huu ulikuwa, Itafutwe sayari ambayo itakuwa imejitenga sana/far away kisha mpango huo ukafanyikie pale.
Mpango ulikuwa ni pamoja na kuchukua vitu vyote/zana zitakazokuwa msaada kwa watu hawa maalumu ambao walikuwa mahususi kwa ajili ya kumaliza ubishi wao! (Watu hao ndio sisi)

Kikosi maalumu cha wataalamu wa anga kilishughulika katika kutafuta eneo/sayari maalumu ya majaribio hayo!.
Dunia ilipatikana huku ikionyesha kuwa kulikuwa na uwezekano wa wao kufanya walichokuwa wamekusudia, ndipo kundi maalumu la wataalamu tofauti likatumwa Duniani hapo kale!.
Kundi hilo lilipofika duniani, lilikuta kuna baadhi ya viumbe waliokuwa tayari wapo duniani; Hivyo waliangusha bomu kubwa maeneo ya Mexico, na bomu hilo liliharibu karibia kila kitu na mazalia!

Kulikuwa na wataalamu mbalimbali wajuzi wa mbinu nyingi.

Wapo waliokuwa mahususi kwaajili ya kuja kuficha hazina mbalimbali kama madini! na vitu vingine ili kama siku binadamu akianza kujielewa aweze kutumia katika kumsaidia.

Wengine walikuja kufanya ufundi wa miti na dawa! Ili siku mtu atakapoanza kupata maarifa atambue kuwa katika miti kuna dawa zinazoweza kumsaidia apone!,.
Yote hii ilikuwa ni swali "Je Binadamu mpya asiejua lolote anaweza kugundua siri zilizojificha"?.
Wengine wakatengeneza viumbe baharini na kuvisambaza kila kona ya maji! Wengine wakawa na kazi ya kuumba wanyama wengi tofauti wakiiga mifano ya wanyama walionao kwao(kwetu) Wa mwisho wakaja na ile sayansi kubwa zaidi katika mtu; Sayansi ya kumtengeneza mtu! Hawa walitengeneza watu mbalimbali(weusi, weupe, brown na wengineo) kisha walitoa oda maalum huko kwao kwa watu ambao walichukuliwa roho zao kisha kuwekwa katika miili ile iliyokuwa imetengenezwa kwa ajili ya kazi ile.
Roho hizo(miili yao ya asili) zilifutwa kumbukumbu zote ndipo Zikawekwa katika miili hiyo iliyokuwa mingi, wastani wa miili mia, iliyokuwa ya waume na wake, Watu hao wapya wakasambazwa kila pembe ya Dunia kulingana na rangi zao wakiwa na kumbukumbu sifuri.

Lengo la kuwatengeneza kwa rangi tofauti ilikuwa ni fumbo ambalo pia walipewa watu hawa wapya yaani sisi, (nitawaelezea baadae kuhusu hili).

Ili mambo yasilale, yaendelee kuzunguka ndipo wazo la kuwepo kifo lilipokuja! Hivyo mtu(watu wapya) alipokufa aliweza kurudi kwenye ardhi yake ya asili(Nyumbani) na kwa watu wake wa asili, pindi wakifika huko hurudishiwa kumbukumbu zao na kujitambua wao ni nani na walikuwa Duniani kwa sababu gani!,
Hiyo ndo sababu ya watu(sisi) kutorudi katu hapa katika ulimwengu huu na kumbukumbu sababu tupo hapa ili kujibu swali la nyumbani kwetu kwa asili, kuwa tunaweza kuendelea bila ya msaada wa chochote, au tutabaki kama tulivyo bila kuendelea.?
View attachment 504019

Mwisho wa hii Mission

Mission hii itaisha pale ambapo watu walioitengeneza project hii watakapopata jibu, kuwa mtu hawezi au anaweza kufanya lolote bila ya msaada punde atupwapo mahali na kufutwa kumbukumbu...

Mwisho wa meditation yangu ulikuwa ni huo. Mwenye idea au wazo fulani anaweza kushare nami kwa kuniPM au kuongea chochote ili mradi lisiwe ni Tusi.

Nawasilisha
Secret Star.
Ni kweli usemalo hatupo pekeetu katika ulimwengu....
 
Ila mkuu umesema hao wajamaa walivyokuja walikuta viumbe wengine wakawaangamiza sasa hao viumbe waliumbwa na nani?
marwarwa nilichokiona ni kuwa, Mungu ambae sisi humzungumzia ni kitu ambacho kiko mbali kuliko kawaida! Yaani source iliyotuumba sisi, nayo iliumbwa na soucre nyingine ambayo nayo iliumbwa na source nyingine! Hadi kumkuta Mungu aliyeumba galaxy! Hapo katikati vimeumbwa vitu trioni na trioni navyo vikaumba! vilivyoumbwa navyo vikaumba sijui kama unanielewa?

Similar Discussions

Back
Top Bottom