Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Mfano utasiki tumekamata bangi yenye thamani ya tsh mil 29.
Au cocaine yenye thamani ya tsh mil 200.
Au pembe za ndovu zenye thamani ya mil kumi.
Uwa wanajuaje thamani yake na wakati hivyo vitu havipo katika soko la kawaida kama madini na budhaa nyingine halali?