Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,778
Habari za Leo wapendwa,
Unapoingia katika choo cha jumuia mathalani kazini au chuoni, ukakuta kina hali mbaya inatia karaha. Unapoamua kukitumia hivyo hivyo umalize shida yako ile unatoka tu mlangoni unakitana na mtu unaeheshimiana nae anaingia choo hicho hicho utajisikiaje?
Ukikuta hali mbaya utaweka mambo vizuri kidogo au na wewe utaacha hivyo hivyo?
Maoni yenu wakuu.