Habari zenu wana JF,
Napenda kuchukua fursa hii kupongea Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa uzalendo na utendaji kazi wao uliotukuka kwa kudhibiti bei ya bidhaa ya petroli hadi kufikia kiwango cha chini ukifananisha na bei za vyakula hapa nchini.
Ni ukweli usiopingika kwamba iwepo wa EWURA umepelekea bidhaa hii kuwa na bei halisia tofauti na hilijambo wangeachiwa wafanya biashara wenyewe wa pange bei nina uhakika kwa uchumi ulivyo sasa tungenunua lita kwa buku5.
Imagine bei ya petroli ni ndogo kuliko unga, mchele hata lita moja ya mafuta. Ningeshauri Serikali kuanzisha mamlaka makini kama hizi katika sekta mbalimbali. Laiti kama TCRA wangekua wakifanya kazi kama EWURA sidhani kama mitandao ya simu ingekua ikituibia kila kukicha hao SUMATRA nao wangekua vizuri tusingekua tunaibiwa ubungo na nauli za bei tofauti tofauti.
Mwisho niwapongeze EWURA kwa umakini na weledi katika kazi yao na ikumbukwe kwamba katika ile bei ya ma futa takribani shilingi 800 inarudi serikali kwa iyo ni pesa kidogo sana inayobaki hapo kwaajili ya mchanganuo wa bei.
Mfano:
Bei ya mafuta ni Tsh. 1950 ukitoa sh 800 ya serikali ni sh 1150 tu ndio inayobaki na ku cover cost zote ukianzia na chargers za transport, bei ya mafuta uko inakotoka, charge za bandari, TRA, TBS, TRL, WMA, TRL, demurahe cost, faida ya wholesaler na retailer.
HONGERA EWURA KWA KUMAINTAIN BEI YA PETROLI