Watanzania wazuiwa kwenda Oman kufanya kazi

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,011
IMG-20170503-WA0004.jpg
IMG-20170503-WA0005.jpg
 
Unafanya kebehi wakati wafanyakazi wanaopelekwa huko wanateseka na wengine hata kuuawa? Inaonekana wewe ni mmoja wa hawa maajenti uchwara walioweka fedha mbele na utu nyuma.
Tunaomba serikali isistishe kabisa huu utumwa mamboleo. Itakuwa vizuri sana sana kama watapiga marufuku kabisa msichana yoyote kwenye kutumikishwa huko uarabuni. Yaani walitufunga minyororo enzi zile, na wanataka kutufunga tena sasa?
 
hii habari kaandika nani na yeye ni nani huko oman ??
Kuna clip moja ya mama mmoja analalamika eti wamezuiwa airport juzi tarehe 1.5 na ofisa wa uhamiaji. Mlalamikaji anasema yeye ni agent na walikuwa wanasafirisha wasichana kama 25 na ndege ya flly Dubai kwenda Oman lakini ofisa uhamiaji akawastopisha kwa kusema kuna amri imetoka wasiruhusiwe.
 
Na madera yao wanajiona kama waarabu
Wewe hutaki kazi ya u hauzi boy au kuosha magari huko??!! acha wivu na nyodo za kijinga!!
Kazi zipo na ukatili upo kila nchi na kila sehemu...
Akajasembamba- nawe umenyimwa viza na tkt ya kuenda huko!!
Wewe unaweza kiwapatia hao kazi na kipato humu nchini??? kwanza jilishe tonge mwenyewe!! acha watu wafungue masilahi yao!!
 
Tatizo, ni pale hadi baadhi ya mawaziri awamu ya nne walipiga upatu wa kutafutia watu ajira huko ughaibuni.

Na idadi hii kubwa inayoteseka ni zao la hao mawaziri wa ajira na kazi na vijana wakati huo.

Tuwakataze ndugu zetu kujiripua/kwenda huko uarabuni.
 
Hawa watu kwa nini hawasikii yanayowapa wenzao huko? kwani ni lazima kuwa nje ya nchi? JAMANhebu wabaki nyumba tuishi kwa dhiki ila kwa faraja ya upendo iliyopo kuliko kwenda huko kuishi kwa kilio na kusaga meno, ombi kwa mh, rais fanya mchakato wa viwanda basi mbona ndege na treni za umeme umezishikia bango wakati hazitatusaidia wengi?! Ajira baba ni muhimu sie hata baiskeli kwa ufariri zinatutosha.
 
Back
Top Bottom