majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 453
- 635
- Kutokupenda kusoma na kufuata yaliyomo kwenye mikataba
- Kutokupenda kufuata sheria bila shuruti
- Kupenda "short cuts" iwe barabarani, foleni, kazini, vyeti n.k.
- Kutokupenda kubandika bei za bidhaa na kukadiria tu kutokana na muonekano wa mtu
- Kukaa nje ya frames za maduka, chini ya miti n.k.
- Kujazana kwenye ajali
- Kuogopa mvua zaidi kuliko magari
- Kupenda kujenga hovyo bila kufuata taratibu
- Kusifia majambazi na wezi
- Kujazana kwenye misiba
- Kuchanga mahela mengi kwenye sherehe na sio za maendeleo
- Kupiga mziki mkubwa mpaka masikio kuuma
- Kupenda imani za kishirikina
- Kupenda kumsingizia Mungu kwamba kataka kumbe makosa ni yao
- .......