Tuwe wakweli, Hivi Kilimanjaro na Zanzibar ni wapi pameendelea sana?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,101
34,050
Habarini Wadau,

Hivi mkoa wa Kilimanjaro na nchi ya Zanzibar ni wapi pameendelea zaidi?

Mfano ni huduma gani ya muhimu inayopatikana zanzibar ambayo nitaikosa Kilimanjaro zaidi ya beach/bahari tu?

Je kwa ukubwa wa eneo...ni wapi pakubwa?

Zaidi: Je utendaji kazi wa wananchi wa sehemu hizo vipi? Assume nataka kuwekeza kwa kujenga kiwanda au Hotel ni wapi nitapata wachapa kazi hodari?

Msaada please.
 
Mmh maskini kote sijafika,mtoa mada sio vizuri kubagua baadhi ya wachangiaji
 
Sijawahi fika zenj ila naifaham Kilimanjaro km nimezaliwa uko ila kiulingano Kilimanjaro yafaa kuwa mwisho ya hata mikoa yote kimaendeleo
 
Habarini Wadau,

Hivi mkoa wa Kilimanjaro na nchi ya Zanzibar ni wapi pameendelea zaidi?

Mfano ni huduma gani ya muhimu inayopatikana zanzibar ambayo nitaikosa Kilimanjaro zaidi ya beach/bahari tu?

Je kwa ukubwa wa eneo...ni wapi pakubwa?

Zaidi: Je utendaji kazi wa wananchi wa sehemu hizo vipi? Assume nataka kuwekeza kwa kujenga kiwanda au Hotel ni wapi nitapata wachapa kazi hodari?

Msaada please.
Labda tujue pato la mkoa wa Kilimanjaro na pato la Zanzibar kwanza.
 
Kwanza....hebu fananisha Ikulu ndogo ya kilimanjaro na ikulu zingine zote TZ.Hiyo ikulu ndogo ilikuwa nyumba ya Mangi Mkuu wakati wa ukoloni.
PILI.....tokea enzi za ukoloni Kmanjaro wamekuwa na umeme wao kutokea pale Kikuletwa
TATU....barabara za Kmanjaro..usipime tokea enzi za kikoloni
Kuna mengi mazuri
ZNZ wanawazidi Kmanjaro kwa mapishi
 
Kimsingi zanzibar wameizid k'njaro kwa utalii tu,mengine wameachwa mbali sana na k'njaro.
 
Sijawahi fika zenj ila naifaham Kilimanjaro km nimezaliwa uko ila kiulingano Kilimanjaro yafaa kuwa mwisho ya hata mikoa yote kimaendeleo
Sasa mkuu kama hujawahi kufika Zanzibar unajuaje kimlinganisho zanzibar ipo chini zaidi ya Kilm?
 
Jamani huu ni udhalilishaji..yaani mnalinganisha mkoa na nchi wacheni dharau
 
Back
Top Bottom