Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

ben brancoII

Member
Mar 19, 2017
40
27
images

VIFAA
kuku mwekundu jogoo
chungu kipya kikubwa
chumvi ya mawe kG1
ndimu kali 7
sindano 7
kitambaa chekundu mita 1

MAFUSHO YATAKAYOTUMIKA
ubani maka, sandarus, jawi , dhukuri, kafur mayti, haltiti, shubir, na unga wa mfupa wa kichwa cha ng'ombe

kisha utaanza kusoma surat nnaziat zote na surat muhilikat zote na surat lhajiz zote wakati huohuo utakuwa unamnyonyoa manyoya yule kuku unayatupia katika chungu na zile sindano unashindilia ktk mwili wa kuku huyo mpaka umalize manyoya yote kisha kuku akiwa bado yupo hai mfunge hicho kitambaa kama sanda utamzika katka kichuguu

wakati unazika soma tarakin mayti ya mtoto kisha useme ni adhabu gani iwe kwa mbaya wako ukiishazika funika hicho chungu juu yake
utakaa siku 21 majibu utayapata atakuja huyo mbaya wako akiwa mwehu ukimwangalia tu anakufa

usifanye kama hauna ujasiri wa kutosha.
source
tibazetu.blogspot.com
tibazetutz@gmail.com

VIFAA
images

kuku mwekundu jogoo

chungu kipya kikubwa

chumvi ya mawe kG1

ndimu kali 7

sindano 7

kitambaa chekundu mita 1

MAFUSHO YATAKAYOTUMIKA

ubani maka

sandarus,jawi ,dhukuri,kafur mayti,haltiti,shubir,na unga wa mfupa wa kichwa cha ng'ombe

kisha utaanza kusoma surat nnaziat zote na surat muhilikat zote na surat lhajiz zote wakati huohuo utakuwa unamnyonyoa manyoya yule kuku unayatupia katika chungu na zile sindano unashindilia ktk mwili wa kuku huyo mpaka umalize manyoya yote kisha kuku akiwa bado yupo hai mfunge hicho kitambaa kama sanda utamzika katka kichuguu

wakati unazika soma tarakin mayti ya mtoto kisha useme ni adhabu gani iwe kwa mbaya wako ukiishazika funika hicho chungu juu yake

utakaa siku 21 majibu utayapata atakuja huyo mbaya wako akiwa mwehu ukimwangalia tu anakufa

usifanye kama hauna ujasiri wa kutosha.

source
tibazetu.blogspot.com
tibazetutz@gmail.com
We jamaa una roho mbaya sana, yaani unamshindilia Kuku hai sindano hadi afe umzike! Lahaula;

Aksante kwa ualim wa bure kwa wenye roho mbaya. Fikiri, jogoo kama huyo, unamshika na kuanza kumnyonyoa akiwa hai, unamchoma masindano yoote hayo 7. Nawaza tu, kelele zake, "Kureee, kwireeee, kureeeee, kwireeeiiii" Mwanamume hata huruma huna!! Hivi utafanyia wapi haya mambo?? Wakikusikia watu si wanaweza waza kuwa unamnanihii kuku??
Nakushukuru kwa ilim hii lakini kwangu, moyo huo sina

By darasa la mapenzi

Heshima kwenu brothers and sisters,,

Safari yangu ya Angaza inavyozidi kukaribia some Bad memories zinarudi kichwani zinazoninyima raha sana na sana...
Zaidi ya mara kadhaa ya relationship nimegundua Wanawake ndo watu wa kwanza kupinga matumizi ya mpira baada ya muda fulani wa Relationship kwa kisingizio cha kuwaumiza..
Na mara nyingi Mwanaume asipo push matumizi ya condom Msichana hawezi kupush yeye,,, Wanapenda sana kuaminiana kirahisi rahisi na kikubwa wanachojali ni Mimba tu so wakiona wapo kwenye safe days wanaona wapo Safe kwa kila kitu..
Mwanzo nilijua ni baadhi tu but katika stories na jamaa zangu wengi wamekutana na hicho kitu na kila mmoja anaeleza kuwa her Girlfriend hapendi Condom kisa Zinawaumiza...
Na hii ipo sehem nyingi sana na sana..

Hii hali inatisha kama Ukweli Ukimwi utaisha kwa situation kama hizi...Ndio maana kuna Mdau mmoja anapenda kusema Kupata HIV ni sign of Unlucky to you as people are not descent as they pretend to be when it comes to S#x/love making issues although they are negative...

Wadada naomba Mtupe majibu ya ukweli na uwazi.

Back
Top Bottom