Sasa tuangalie kwa upande wa nguvukazi inayotoweka kutokana na vifo vya malaria, na wale wasiokwenda makazini kutokana na malaria,Kiuchumi mbona iko wazi kwa kampuni zinazotengeneza madawa ya malaria kufungwa...pia kimazingira kwa upande wangu mbu lazima wawepo ili kubalance ecosystem..so hizo ni hasara
Kwanza suala la eco system naomba ulitoe, kwasababu zipo nchi ambazo mbu hawezi kuishi, au hayupo kabisaaa,La msingi ni kujua impact ya mbu ni nin kiuchumi na kimazingra
Mbu ataleta malaria so from malaria ndio hapo kuna
hosptal which is money,
Mosquito nets which is money
Dawa za kutibu malaria equals to money
Dawa za kuzuia mazalia ya mbu equals to money
Research za kuhus malaria its money
Kifo - Majeneza sanda wachimba makaburi and vya namna hyo
Ukiua mbu wote - No malaria
If no malaria hvyo vyote hapo juu haviwez kutokea
No death caused by malaria so watu watabakia hai watajishuhulisha na mambo mengne
Wafanyakaz wote ambao wanahusika na hvyo hapo Juu hakuna ajira/ Zitapungua ajira
Eco system haitakamilika
So kwangu mim mbu ana faida zaid akiendlea ku exist kuliko akikufa.
Kweli mkuu,itakuwa faida aisee, kwa maana hamna ninachochukia kama sauti ya mbu masikioni mwangu
Ndio na malaria ni ugonjwa tishio sana mkuuKweli mkuu,
manake mi nahisi ninatumia gharama kubwa kujilinda na mbu kupitia kununua vyandarua, kununua mosquito reppllnt,
alafu pia wananikosesha amani hasa nikianza kuhisi dalili ya homa basi mawazo yananipelekea ni malaria,
pia kuna sehemu inanilazimu niziepuke kuzifika kutokana na uwepo wa malaria... Hasara wanazosababisha mbu ni kubwa
Mbu wanabalance nini kwenye ecology??Kiuchumi mbona iko wazi kwa kampuni zinazotengeneza madawa ya malaria kufungwa...pia kimazingira kwa upande wangu mbu lazima wawepo ili kubalance ecosystem..so hizo ni hasara
Hapo uko na bibie gheto alfu wanapita pitaitakuwa faida aisee, kwa maana hamna ninachochukia kama sauti ya mbu masikioni mwangu
Mbu wanabalance nini kwenye ecology??
Weee wanakerajeHapo uko na bibie gheto alfu wanapita pita
Sasa hao wanyama si watategemea chakula kingine tofauti na mbu..wadudu mbona wako shazi mkuuMkuu biology yangu ya siku nyingi sana inanieleza hivi...Mosquitoes are part of a complex food web. Many fish feed on mosquito larvae, which are aquatic, and plenty of birds and spiders and other insects feed on the adults. Dragonflies and damselflies love mosquitoes. Frogs eat adult mosquitoes, tadpoles eat the larvae....hadi hapo wanakamilisha ecosystem...
Sasa hao wanyama si watategemea chakula kingine tofauti na mbu..wadudu mbona wako shazi mkuu
nimekupata mkuuMkuu ukisema ecosystem upande wa faida ni huo kila kitu kana faida na hasara zake.Hawakuumbwa kwa makosa..hasara kwangu au kwako ni faida kwa mwingine au kiumbe kingine...kila kiumbe kilichopo kina umuhimu katika kubalance ecosystem
ni sawa na kusema unachopata kwenye nyama unaweza pata kwenye mchichaSasa hao wanyama si watategemea chakula kingine tofauti na mbu..wadudu mbona wako shazi mkuu
Alaa kumbeni sawa na kusema unachopata kwenye nyama unaweza pata kwenye mchicha