Taarifa kwa wale wenzangu tuliofoji vyeti.

Kiberiti Kidogo

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
575
917
Maisha bana popote, huwezi jua Mungu kakuandikia nini mbeleni. Kuna wakati tusilazimishe mambo bhana. Kuna kazi nyingi sana mtaani.

Ila UTAJISKIA VIPI UNAAMKA KESHO HAFU KUMBE SUALA LA KUFOJI VYETI LILIKUWA NI NDOTO TUU UMEOTA USIKU?
 
Back
Top Bottom