baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Kwa kauli ya mweshimiwa mwakyembe...aliyoitoa bungeni kuwaomba chadema kurudisha swala la richmond bungeni..na yeye yuko tayali kuweka rehani uwaziri ili alishugulikie kikamilifu... na Lowassa hasafishiki...
hii kauli inadhalilisha serikali yake sana,inatuonyesha jinsi gani hii serikali ilivyoshikwa na watu wachache....Yaani ubadhilifu unafanyika na ushaidi wanao lakini atua staiki zinapindishwa...
ubadhilifu wa billions of money unatendeka hakuna action inachukuliwa...ila ndugu zetu leo wako jela kwa wizi wa kuku..
Mwakyembe lazima utambue pesa za richmond ni za walipa kodi ambao ni watanzani...wengine hata mlo wa siku wanakosa...hivyo unajitokeza adharani na kuaminisha kuwa Serikali ilishindwa kumwadabisha Lowassa katka swala la rich mond...inatuuma sana sisi walipa kodi..
Kwahiyo unatuakikisha ushaidi upo...ila umekaliwa...na kwanini umekaliwa...
j