Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hata mimi nikiitwa kichaa na mfanyakazi mwenzangu aliyechini yangu kwenye kampuni ninayoiongoza au shirika lazima nimpe likizo ya ghafla au kumsimamisha. Je, nyinyi mngefanya nini?
0 Reactions
1 Replies
798 Views
FUNZO KUBWA SANA HILI Mwanamke mmoja alikuwa akifanya kazi katika kiwanda cha kusindika nyama. Siku moja baada ya kumaliza kazi zake pale kiwandani alienda katika chumba chenye freezer (cold...
8 Reactions
31 Replies
6K Views
Najua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa Ni wazi kwamba biashara ni matangazo na kwa sehemu kubwa ya matangazo yetu yamejaa...
32 Reactions
138 Replies
21K Views
Habari za asubuhi,naomba tupeane ushauri kwa sisi vijana tunaonza maisha kwenye mpangalio wa chakula,maana naona vyakula vimepanda bei sana kuanzia mchele,sembe na sukari sasa ni bora niwe napika...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Edited
1 Reactions
1 Replies
689 Views
Sifa na Utukufu kwa Mungu Baba Muumba mbingu na Dunia na vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana Tangu mwaka Jana kuanzia mwezi March nilikuwa nasumbuliwa sana na mwili wangu nikaenda...
14 Reactions
45 Replies
4K Views
Set Goals First list down all the goals that you want to accomplish. If you are not sure what you want in life, you are just bound to receive the unexpected. Nevertheless, bear in mind that goals...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
SHANGHAI - Ndege ya kwanza ya abiria iliyojengwa nchini China kwa mara ya kwanza imefanyiwa majaribio kwa kuruka Ijumaa hii ya Mei 5,2017, jaribio hilo linatajwa kuwa ni hatua kubwa katika malengo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baba wa mbinguni mungu awe nanyi daima wapendwa wote muaminia uwepo wake na musio amin Mimi naomba kueleweshwa na kuondolewa utata kuhusu mungu na majina yake Je allah ni nani na ni nini, ni...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Hili Taifa sasa hivi hakuna usawa kabisa! Juzi hapa kumeibuka sakata la vyeti fyeki, wananchi wa hali ya chini wamelia mpaka basi na hakuna wa kuwasikiliza. Lakini cha kushangaza tukaambiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Zoezi la ufukuzaji wa wafanyakazi wenye vyeti feki vya secondary imenifanya nitafakari na kuona nibora nipate mawazo yenu wadau kuhusu jambo hili. Kinacho nishangaza hasa ni ukweli kuwa watu hawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vijana wale waliokuwa hot kwenye lile song...wa miaka ile mtanielewa. Naomba kufahamu walipo niwatafute nifanye nao project.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bwana Yesu asifiwe!!!!!!! Habar kwenu wana TRA na wanaJf. Mm ningependa kutoa maoni kuhusu, mfumo wa ukataji wa kodi ya PAYE badala ya kutumia PAYE calculatoy inayotumika sasa,,,,,,,Mngeweka tuu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimepokea SMS kutoka INFO FASTJET RECEIPT REF FDT4WQ TOTAL PAID TZS 266000.00
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama nilivyoeleza hapo juu, Kumekuwa na mtindo wa kurushiana mpira kati ya bodi ya mikopo na hichi chuo cha usafirishaji pale mikopo inapochelewa kupita kiasi au watu fulani kukosa bila sababu za...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Bodi ya Mikopo wanataka watu waliomaliza kulipa mikopo kwenda ofisi zao kuhakiki? Ni ni maana yake? Kwani hamuwezi kupitia Benki akaunti yenu (NMB) na kuhakiki kwa kutumia wahasibu wa Serikali...
0 Reactions
5 Replies
945 Views
Rais, kwanini umewahurumia wenye vyeti feki? Hawa ndio waliotibu wagonjwa hospitali kwa makosa wakafa. Haondio waliofundisha watoto wetu wakafeli. Hao ndio waliokagua mabasi yaendayo mikoani...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Jamani mi naomba kuuliza hizi bei za bidhaa ni kote zimepanda au ni huku tu??? Miezi michache iliyopita sukari ilipanda bei na kufikia 2300 @kg tukaambiwa wafanyabiashara wameficha sukari.Sasa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…