Kwa TRA: Kwanini msiweke asilimia(%) kuliko "Paye" calculator inayotumika

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,098
Bwana Yesu asifiwe!!!!!!!

Habar kwenu wana TRA na wanaJf.

Mm ningependa kutoa maoni kuhusu, mfumo wa ukataji wa kodi ya PAYE badala ya kutumia PAYE calculatoy inayotumika sasa,,,,,,,Mngeweka tuu viwango vya ASILIMIA (%) ili iwe rahisi kwa mfanyakazi.
Maana calculator ni kama haipo Up-to-date na watu wengi hawana Awareness ya kutumia.

2:- Lakn pia TRA mngetoa viwango vya mishahara na kodi yake ya PAYE hata kwa kutofauti ya Tsh 5000 ili kuwasaidia wafanyakazi urahisi wa kuelewa. Na kisha viwango hivyo kuwekwa kwny Tovuti.

NINAOMBA Mods na WOTE WANAOHUSIKA,,,,,,KUSAIDIA KUWAFIKISHIA MAONI HAYA KWNY OFISI ZA TRA.
 
Kutoweka mfumo rahisi wa kueleweka makato ya paye ni dalili za kuwachanganya watu wasielewe kiasi cha kodi wanayotakiwa kukatwa inabidi wafanyakazi walisemee hili na walifuatilie
 
Kutoweka mfumo rahisi wa kueleweka makato ya paye ni dalili za kuwachanganya watu wasielewe kiasi cha kodi wanayotakiwa kukatwa inabidi wafanyakazi walisemee hili na walifuatilie
Kweli kabsaa mkuu mm nimeliona hili ndo maana nawayaka Mods Ujumbe au Mapendekezo haya watusaidie wayapeleke sehemu husika.

PAYE mahesabu yake sio asilimia peke yake. Yana kanuni tofauti kwa viwango tofauti
 
Back
Top Bottom