tunage
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 252
- 168
Kama nilivyoeleza hapo juu,
Kumekuwa na mtindo wa kurushiana mpira kati ya bodi ya mikopo na hichi chuo cha usafirishaji pale mikopo inapochelewa kupita kiasi au watu fulani kukosa bila sababu za msingi, kwa wanafunzi wa bachelor mwaka wa pili ambao wapo chuo kwasasa walifungua mwezi wa pili na wakapewa fedha ya kujikimu cha ajabu mpaka huu mwezi wa tano hakuna hata stori za kusaini na mtu ukifatilia kuna vitisho na wengine wanarudishwa nyumbani, walioenda kufatilia bodi ya mikopo eti ratiba inaonyesha tupo nyumbani yaani likizo, kunaomba pesa zetu maana ni haki yetu na tunamakubaliano maalum, kama kunashida mnatoa maelezo.
MWISHO WA SIKU TUKIKIMBIA BILA KULIPA MADENI MTATUBANDIKA MAJINA MPAKA KWENYE MAGAZETI NA KUDAI SIO WAZALENDO.
KINA DADA WANAJIUZA NIMESHUHUDIA LIVE TUNAOMBA FEDHA TUJIKIMU KWA AMANI ACHENI SIASA ZA KIPUUZI.