Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,075
- 2,316
Rais, kwanini umewahurumia wenye vyeti feki? Hawa ndio waliotibu wagonjwa hospitali kwa makosa wakafa. Haondio waliofundisha watoto wetu wakafeli. Hao ndio waliokagua mabasi yaendayo mikoani vibaya yakapinduka yakaua watanzania wengi.
Hao ndio waliosimamia majengo na barabara vibaya vikajengwa chini ya kiwango nakuleta uharibifu. Hao ndio waliosababisha bidhaa feki kuingia nchini. Orodha ya uharibifu ni nyingi.
Hakikisha wanarudisha mishahara waliyoiba kwa miaka yote kwa kukata kwenye mafao yao ya hifadhi za jamii.