Vyakula kupanda bei tunaelekea wapi!!

Vyakula kupanda bei tunaelekea wapi!!

wakwetu_tz

Senior Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
122
Reaction score
171
Jamani mi naomba kuuliza hizi bei za bidhaa ni kote zimepanda au ni huku tu???
Miezi michache iliyopita sukari ilipanda bei na kufikia 2300 @kg tukaambiwa wafanyabiashara wameficha sukari.Sasa hivi huku namanga sukari tunauziwa 3000 @kg na sisikii lolote linalosemwa.
Unga wa sembe miezi miwili iliyopita kg ilikuwa sh 1200,kwa sasa ni sh 2000.
Debe la viazi vya chips ilikuwa 17000 sasa hivi ni 25000.

#LIFE_TIGHT
 
Subiri wakati wa mavuno bei zitashuka huoni mazao yamekauka kwa sababu ya jua Kali tuvumilie ni kipindi cha mpito
 
Hilo sio jibu stahili juu ya hili. Hali ya maisha imekua ngumu kulingana hali za vipato. Usiweke dhihaka kwenye maisha ya watu, sector zina tegemeana ni vizuri kutoa ushauri utakao jenga hata kwa serikali yako. Vijana ndio mnategemewa ila namna hii hata viongozi wetu wa serikali wanatuona maboya.

TE="MBIIRWA, post: 20989677, member: 145737"]ni zam ya wakulima kunufaika na jasho lao kama unaona ni kazi ndogo kulima nenda kashike jembe[/QUOTE]
 
Kodisha shamba ulime miwa, mahindi na viazi mkuu ili kuepukana na hizo bugudha.
 
tunaelekea kwenye matokeo tunayoyatengeneza sasa
 
Kodisha shamba ulime miwa, mahindi na viazi mkuu ili kuepukana na hizo bugudha.
🙂🙂🙂 haya bwana.Ila tunapoelekea tutakunywa chai ya miwa badaya ya kuweka sukari..
 
Hayo mambo madogomadogo kwa nini unayajali mkuu? Come karibu tujenge viwanda na miundombinu, kula baadaye. Lazima uwe na kipaumbele mkuu. Au unalimia meno? Hahahahaaa
 
Hayo mambo madogomadogo kwa nini unayajali mkuu? Come karibu tujenge viwanda na miundombinu, kula baadaye. Lazima uwe na kipaumbele mkuu. Au unalimia meno? Hahahahaaa
ukiwa na njaa huwezi kujenga viwanda na miundombinu mkuu
 
ukiwa na njaa huwezi kujenga viwanda na miundombinu mkuu
Weye unakataa lakini ndivyo tunaaminishwa iwe. Kwani hukuona Kagera walijengewa miundombinu lakini hawakupewa ugali? Unaaminishwa katika vitu na si mtu /utu! Lazima ulime kwa kutumia meno. Hahahahaaa!
 
Naona kuna tatizo la chakula zaidi Sembe ukanda wa Afrika ya Mashariki kupanda bei nilisikia malalamiko ya wakenya Jana na pia Rwanda na Burundi kupitia BBC
 
Naona kuna tatizo la chakula zaidi Sembe ukanda wa Afrika ya Mashariki kupanda bei nilisikia malalamiko ya wakenya Jana na pia Rwanda na Burundi kupitia BBC
Alaa... kumbe kuna tatizo la sembe eneo hilo (chakula!?). Sasa ya nini kuifanya migumu mioyo yenu kwa hii miti mibichi? Hata hivyo mkuu, kusema (kuandika?) kuwa kuna tatizo la "sembe" si kwamba ilikatazwa? Hahahahaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom