Bodi ya Mikopo acheni uzembe

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Bodi ya Mikopo wanataka watu waliomaliza kulipa mikopo kwenda ofisi zao kuhakiki?

Ni ni maana yake?

Kwani hamuwezi kupitia Benki akaunti yenu (NMB) na kuhakiki kwa kutumia wahasibu wa Serikali?

Hii sasa ni fujo

Watu waache kazi zao za kutafuta riziki, wakaunge foleni kuhakiki...

Na Kodi serikali inataka, tena sana....sasa watu wasifanye kazi...wakapoteze muda

[HASHTAG]#hapahakunakazi[/HASHTAG]
 
Mkuu umemaliza mkopo?Basi kahakiki au waendelee kukata.Ulipokopa ulikuwa mpole leo unatema ngebe za nini.
 
Kwa hali hii sioni maana ya utandawazi.

Watengeneze njia nyingine ya uhakiki sio watu waende wote kusongamana pale
 
Mkuu umemaliza mkopo?Basi kahakiki au waendelee kukata.Ulipokopa ulikuwa mpole leo unatema ngebe za nini.

Nilimaliza kulipa

Kwani pesa za mkopo ni za nani? zinatoka wapi?

Ni kodi zetu Watanzania, Mkopo sio msaada... Lazima nilete ngebe

Nani aendelee kukata? Wakate basi kama wanaweza

Sitapoteza muda kuhakiki

Wao wanaopokea hawajui wanapokea nini, kutoka kwa nani?

Kama wahasibu wa Serikali wameshindwa, wamuombe CAG

Wewe akaunti yako ya Benki hujui pesa inatoka wapi au kwa nani?

Acha ubashite basi
 
Kwa hali hii sioni maana ya utandawazi.

Watengeneze njia nyingine ya uhakiki sio watu waende wote kusongamana pale

Safi, wewe ni Great Thinker

Sasa shirika linashindwa kujua pesa imetoka kwa nani na lini? Waajiri Auditors wahakiki pesa wamepokea kwa nini

Hakuna Bank Statements?
 
Safi, wewe ni Great Thinker

Sasa shirika linashindwa kujua pesa imetoka kwa nani na lini? Waajiri Auditors wahakiki pesa wamepokea kwa nini

Hakuna Bank Statements?
Hapo sasa ndio utajua mwenye taaluma na mhitimu
 
Back
Top Bottom