Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 917
Ule msemo wa ''Kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa'' umedhihirika sana wakati wa utawala wa huyu mzee. SIJUI KWA NINI?
Brothers and sisters saizi Misikitini watu nyomi, Makanisani nyomi, Jumuiyani nyomi, Kwa mzee wa bapa nyomi, Kwa gwaji familia yake hukua hadi anataka ongeza ukubwa wa jumba la ufufuo, kuwatembelea yatima nyomi...
Asante ngosha hata mimi kesho jumuiya ya mt. joseph mfanayakazi sitakosa....