Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Tv Tumaini ni Tv ya Roman Catholic na wakatoliki wameichangia sana ila kinacho nishangaza wala aieleweli aina vipindi ipo ovyo ovyo tu au awana wataalamu si watangaze watu wakajitolee
kumbe umeona ehee sijui wanaiongozajeNi kweli kabisa IPO hovyo kabisa
StartimesJe inapatikana wapi? Huku kwetu haijulikani.
ndio upeo wakoNi kweli kabisa IPO hovyo kabisa