"Makampuni ya simu dawa yao inachemka"-
Ni sheria ya nchi kila kampuni ya mitandao na nyingine kubwa kuuza asilimia 25 ya hisa zaoMbona kama kuna ushawishi sana watu wanunue hizi hisa? hebu tujuzeni kunani.
Kwani halipwi mshahara na marupurupu mengine amekuwa mkuu wa wilaya mbunge na naibu waziri na sasa waziri mkuu atakosaje mil 20?Sio kodi zetu hizo?
Sasa ni azimio la znzHivi kiongozi wa Umma kuwa na maslahi ya wazi kwenye Soko la ushindani haitaathiri Biashara na kuleta mazingira pendeleo ili kuineemesha kampuni husika kibiashara? Si ndioa haya mambo ya Azimio la Arusha haya