mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
kama tunavyojengewa BRT DART haya mambo yapo duniani kote..wazungu bwana nashindwa kuelewa niseme nini. Ni ukoloni au ni mbinu mpya ya kuwekeza ama kutufanya sisi tujengewe haya madude..Ona huko Bangladesh wanamradi wa mwaka huu na unaonekana ama unafafa au upo juu zaidi ya wa Tanzania
Tuhimize watoto wetu wasome injiniaring ili tujenge haya madude wnyewe, haya mambo ya benk ya dunia wanawekeza sio zaidi ya ukoloni kuendelea kuishi nao katika ulimwengu huu'
Aina ya uwekezaji huu unatugharimu sana. nI KAMA VILE UNATAKA UJENGEWE NYUMBA NA KAMPUNI IKULIPISHE MAHELA KIBAO KUMBE UNGEWEZA KUJENGA KWA MAFUNDI WAKO KWA BEI YA KAWAIDA. HIKI ndio kitu kinachoendelea duniani
Tuamke