kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Ajali imetokea ruvu shule ya msingi ikihusisha basi la kampuni ya BM karibu na zebra waliofariki ni wapanda baiskeli wawili pia bus limegonga kibao cha zebra na lory lililokua pembeni yani (petrol tanker) ya Rwanda kwa nyuma napo kama sio hilo gari angeligonga nguzo ya umeme na madhara yangeweza kuwa makubwa utingo wa busi ameumia mkono nausoni.
Source: RSA
Source: RSA