Orodha ya watumishi wa serikali wasiokamilisha vyeti nchi nzima

Mkuu @kwenzisho kama Vip yaweke majina hayo kwa mfumo wa PDF au Microsoft Excel format ili iwe rahisi kupakua
 
Nimejitahidi sana kuipata lakini inafunguka kwa shida sana. Lakini tembelea hapa utaipata:
MAJINA 9850 YA WATUMISHI WASIOKAMILISHA TAARIFA ZA VYETI NCHI NZIMA - 24/7 NEWS
Mkuu @kwenzisho kama Vip yaweke majina hayo kwa mfumo wa PDF au Microsoft Excel format ili iwe rahisi kupakua
Hebu jaribu kwenye hizi link
MAJINA 9850 YA WATUMISHI WASIOKAMILISHA TAARIFA ZA VYETI NCHI NZIMA - 24/7 NEWS
347539655-MAJINA-9850-YA-WASIOKAMILISHA-TAARIFA-ZA-VYETI-NCHI-NZIMA
 
Hii orodha imenishtua.... Wadau wangu wa karibu wamo humo... Watu watakufa kihoroo
 
Hapa kuna shida kidogo Mkuu. Siku ya kukabidhi taarifa tuliambiwa majina ni elfu kumi na moja na zaidi. Mbona Kichwa cha habari hapa inaonekana yamepungua?
 
Back
Top Bottom