Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Baada ya serkali kufanya uhakiki kwa watumishi wa umma na kubaini madudu ya vyeti feki, itapendeza zaidi sekta binafsi nazo zichukue hatua kwa kuanza kufanya uhakiki ili kuwabaini wasiostahili na wenye vyeti feki
Tanzania inawasomi wengi ambao wanavigezo vyote vya kazi lakini wapo tu wanejazana mitaani huku wasio na sifa, cv na vyeti wamekalia nafasi za kazi hizo
Watu wenye vyeti feki ni kikwazo kufikia huduma bora kwa jamii zote zitolewazo na sekta binafsi na sekta za umma
Hivyo kama ilivyokawaida kwa sekta binafsi kuinga mkono serikali katika juhudi zake za kuleta maendeleo na Tanzania ya viwanda, ni vizuri zaidi waiunge serikali mkono pia katika safisha safisha ya vyeti feki kwa watumishi wake
Watumishi wenye vigezo wapo wengi kwanini tung'ang'ane na wasio na vigezo?
Ni rai yangu sasa, sekta binafsi zichukue hatua na kufanya uhakiki iwabaini wenye vyeti feki na iwaondoe haraka!