Kwa anaejua story ya Shauritanga,aje

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,558
2,698
waku wakati ajali hiyo inatokea nilikua mdogo sana nilikua chekechea,sasa huwa sina kumbukumbu kabisa coz my sister miaka miwili iliyofuata alifaulu kwenda machame girls nikiwa darasa la kwanza hv sasa home wakaleta stor ya shauritanga sa sikua aware kabisa,naomba kwa waliokua wamejielewa na kufuatilia what was wrong,plz aje atujulishe.Pia kama kuna ajali zingine related kubwa kubwa ukiacha mv bk na train ya dodoma.Karibuni
 
Back
Top Bottom