Bishop Dr.J.Gwajima

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,474
6,147
Kuna watu wanataka kumuua Lowassa na baadae kusema kuwa Magufuli amemuua Lowassa halafu baadae watamgeukia Magufuli na kumuua na kusema marafiki wa Lowassa wamemuua Magufuli kwa kuwa alimuua Lowassa.Then,watamweka mtu wao Ikulu.
Na kwamba mpango huo unaratibiwa kwa kupitia kwa Nabii Bushiri wa Afrika Kusini.
Amewaombea Lowassa,Mbowe,Magufuli,Lissu,Samia na Majaliwa kuwa hawatakufa bali wao wenye mpango ndio watakufa.

Mytake.Inawezekana kuna kitu chini ya kapeti
 
Aiseeeee kama ipo ipo tu, ,waache ligi iwekwe mezani kma ndo series ya dube na senzo itajulikana mbele ya safari
 
Kuna watu wanataka kumuua Lowassa na baadae kusema kuwa Magufuli amemuua Lowassa halafu baadae watamgeukia Magufuli na kumuua na kusema marafiki wa Lowassa wamemuua Magufuli kwa kuwa alimuua Lowassa.Then,watamweka mtu wao Ikulu.
Na kwamba mpango huo unaratibiwa kwa kupitia kwa Nabii Bushiri wa Afrika Kusini.
Amewaombea Lowassa,Mbowe,Magufuli,Lissu,Samia na Majaliwa kuwa hawatakufa bali wao wenye mpango ndio watakufa.
Mytake.Inawezekana kuna kitu chini ya kapeti
Tanzania tuna insane wengi kuliko tunavyojidhania!.
Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo ...

Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa ...

Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na ...

Paskali
 
Kuna watu wanataka kumuua Lowassa na baadae kusema kuwa Magufuli amemuua Lowassa halafu baadae watamgeukia Magufuli na kumuua na kusema marafiki wa Lowassa wamemuua Magufuli kwa kuwa alimuua Lowassa.Then,watamweka mtu wao Ikulu.
Na kwamba mpango huo unaratibiwa kwa kupitia kwa Nabii Bushiri wa Afrika Kusini.
Amewaombea Lowassa,Mbowe,Magufuli,Lissu,Samia na Majaliwa kuwa hawatakufa bali wao wenye mpango ndio watakufa.

Mytake.Inawezekana kuna kitu chini ya kapeti

KAMA NI KWELI YAMEZUNGUMZWA NA HUYO "ASKOFU" , KUNA HAJA YA KUMTAKA AELEZE KWA KINA ,NAHISI KUNA DHIHAKA INAYOKOMAA DHIDI YA SERIKALI
 
Back
Top Bottom