Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,407
- 25,326
Nilipata kusikia wakati flani kuwa mwezi wa pili, tatu na nne hivi pamoja na mwezi wa nane na tisa kila mwaka ni msimu wa ajali za barabarani!
Na kiukweli tukijaribu kuangalia hii miezi kunakuwa na ajali nyingi sana ambazo zinachukua uhai wa watu wasio na hatia!
Kulikoni?
Je ni uzembe wa madereva wakati wa miezi hiyo ndio husababisha hizo ajali?
Je kipindi cha miezi hiyo magari mengi huwa na hitilafu zaidi kuliko miezi mingine?
Je magari huendeshwa kwa kasi zaidi miezi hiyo?
Tatizo ni nini...