HIVI KUNA MTU WA AFYA DODOMA MJINI?

HIVI KUNA MTU WA AFYA DODOMA MJINI?

kethika

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
630
Reaction score
472
Nimejiuliza tu hili swali maana nashindwa kuelewa na kuamini kama manispaa ya dodoma ina watu wa afya . Hii ni kutokana na kuona maini na utumbo ukiuzwa hadhani independence squre kando kando na korongo linalopitisha maji machafu. Nilidhani ni jambo la dharura na ivo wataingilia kati ila ni muda sasa.
So tunasubiri kipindupindu ndo tuchukue hatua?
 
Mkuu wewe ni mgeni nchi hii eti?

Umeshawah hata kufika mbagala, tandika, bugurun au manseze?
 
Nimejiuliza tu hili swali maana nashindwa kuelewa na kuamini kama manispaa ya dodoma ina watu wa afya . Hii ni kutokana na kuona maini na utumbo ukiuzwa hadhani independence squre kando kando na korongo linalopitisha maji machafu. Nilidhani ni jambo la dharura na ivo wataingilia kati ila ni muda sasa.
So tunasubiri kipindupindu ndo tuchukue hatua?
Mbona maafisa afya wako very strict hapo Dodoma kuliko kawaida, speaking from experience
 
Back
Top Bottom