Hii Comedy ya TBC hapana

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,400
Jamani hawa waliochukua mkataba wa comedy TBC hapana, mbona ka washamba wamewatoa wapi? au ndio ajira zilizo ahidiwa?
 
Hahahaaaa....hv kumbe wengi mnatazama hii, ndo wanaaga hapa wamemaliz, ht cjacheka toka wameanza.... wanasema segment umbea hauna posho lkn wanauza mitumba yan cwaelew
 
Back
Top Bottom