Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari Nataka kujua cv's za hawa watangazaji wa asubuhi maana nawasikia wakionge bila kupanga nini cha kuongea. nadhani kabla ya kuingia kwenye kipindi lazima wapate angalau wasaa wa kuandaa...
10 Reactions
51 Replies
8K Views
Bei hii ya hisa ilifikiwa baada ya wakurugenzi wa Vodacom kuafikiana pamoja na mshauri mkuu kwa kuangalia baadhi ya mambo kadhaa mfano; •Muonekano na Mwelekeo wa uchumi wa Tanzania. •Utendaji wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakazi wa Zanzibar, Kalrav Patel(37) na Kamal Ashar (59) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kusababisha hasara ya Sh 2 bilioni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
KAMA KAANDIKA YEYE , LEMA INABIDI AKUE. Anaandika Mwana UKAWA Halisi. Nimesoma waraka mmoja ulioandikwa kwa kukoseakosea ikidaiwa kwamba umeandikwa na Mbunge wa Arusha Ndugu Godbless Lema...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipotembelea kuwafariji mmoja wa wanafunzi aliyenusurika katika ajali ya bus la wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent katika Hospital ya Mount Meru Arusha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni kweli ajali haina kinga hasa inapokuwa si kosa lako, lakini pia hakuna ajali isiyo na sababu. Tunajua ikitokea ajali ya gari polisi huja na kamba kamba zao kupima. Kwenye ajali kubwa kama hii...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani... Pamoja nami, poleni sana kwa mvua zinazoendelea kutiririka kwa fujo hapa nchni. Pia niwape pole za pekee wale wote wanaoishi mabondeni. HUSIKA NA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU... Suala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huku akiendekeza ubaguzi mkubwa,ana tweet kuonyesha ameumizwa sana!Mungu akulipe sawa sawa na matendo yako.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenyezi Mungu msaidie apone mapema. ======= Mmiliki wa kambi amzungumzia simba aliyejeruhi Kwa ufupi Loyani amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili ikiwa ni pamoja na kunyofolewa sikio na...
11 Reactions
159 Replies
29K Views
Kituo hiki siku hizi sikielewi, au sijui kimekumbwa na tatizo gani. Hivi,mafundi wake hawajui au hawasikii sauti ilivyo mono badala ya stereo? Mnatuboa sana sisi watazamaji wenu kupitia...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Are they paid once only for handing over the work to the publisher? Do they collect royalties for every sale? If so, what is the cut? Other options? Anecdotal answers are also helpful. Novel...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Laini yangu ya voda inagoma kufanya chochote inaandka call baring, nikienda kwenye setting na ku cancel all barring bado inagoma kwa kudai pin sio sahh, naingza pin 0000 lakn inakataa kufunguka...
1 Reactions
23 Replies
21K Views
Picha hii toka kwenye tovuti ya Millard Ayo imerejesha kumbukumbu ya mwaliko alioutoa Mzee Mwanakijiji kwa watanzania kujitokeza kwa wingi wakati ule kwenda kuwaaga Askari wetu waliouawa Kibiti...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Sakata la Serikali kuzuia matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni limeibuka upya, safari hii ukielekezwa kwa Rais John Magufuli Hata hivyo, shughuli nyingi zinazomshirikisha Rais zimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Sina haja ya kuandika mengi lakini mnazingua huduma zenu, leo nimekaa kwenye foleni nusu saa tuko watu watatu, mhudumu mmoja bado na bank kuna kelele ya kingora isiyokuwa na ulazma (tawi la...
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Katika kudhihirisha kuwa serikali iko serious na jambo hili la utumbuaji vyeti feki, aliyekuwa afisa mkaguzi wa wenye vyeti feki naye atumbuliwa baada ya yeye naye kukutwa na vyeti feki kama vya...
2 Reactions
85 Replies
12K Views
Ndugu wanaJF, Katika ajali iliyotokea juzi Arusha,kila mtu atakubaliana nami kwamba utaratibu mzima uliotumika katika kuwasitiri wenzetu haukuwa mzuri na sahihi.Jana katika kipindi maalumu cha...
22 Reactions
61 Replies
8K Views
‎Thadei Ole Mushi‎ UPINZANI NA SIASA NYEPESI Na Thade Ole Mushi Wamekosa cha kuzungumza, wamekosa cha kuwaambia wananchi, ahadi zao hazijakamilika, wameamua kufanya siasa Nyepesi. Eti kwanini...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
Taasisi Siitaji ya halmashauri
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Sio kila anachohojiwa mtu kiripotiwe. Kuna mtu kahojiwa kuhusiana na ajali ya Arusha anasema mkuu wa shule anahusika kisa alimzuia mwanawe kwenda. Hiyo sio justification. Kuhusisha ajali na...
13 Reactions
60 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…